STERLING KAWAAMBIA POLISI KUWA ALITUKANWA NA KUBAGULIWA
Wakati klabu ya soka ya Chelsea chini ya uongozi wake ikiendelea na uchunguzi kuhusiana ni mashabiki gani ambao wamemtolea lugha ya kibaguzi nyota wa Manchester City Raheem Sterling wakati wa mchezo dhidi yao katika uwanja wa Stamford Bridge, Raheem Sterling ashitaki Polisi. Raheem Sterling uchunguzi huo ukiendelea ni kweli ameamua kukiri na kuthibitisha polisi kuwa, …