Tusker yamsajili ‘Adebayor’
Timu ya Tusker FC imemsajili mshambulizi wa timu ya Gor Mahia Kevin ‘Adebayor’ Omondi kwa kandarasi ya miaka miwili. Omondi ambaye alirejea kwenye timu ya Gor mwanzo wa mwaka huu ameruhusiwa kuwakacha ligi ya Kenya baada ya kutowaridhisha wakufunzi wa Gor. Akizungumza baada ya kusajiliwa, Ade alisema huko tayari kupigania nafasi yake kwenye timu hiyo. …