Joe Gomez sana anahitaji siku 42 kurejea uwanjani
Mchezaji wa Liverpool Joe Gomez aliyeumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Uingereza kati ya Liverpool dhidi ya Burnley, Joe Gomez tayari amefanyiwa uchunguzi na kuruhusiwa kuondoka hospitalini akiwa na magongo hiyo ni baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati wa mchezo dhidi ya Burnley. Joe Gomez sasa baada ya uchunguzi wakina na kupatiwa matibabu …