Sarri kafunguka Hazard kapewa mkataba kazi kwake
Kocha wa Chelsea Maurizio Sarri amefichua siri kuwa uongozi wa Chelsea tayari umemuweka mkataba mezani mbelgiji Eden Hazard sasa jukumu litakuwa lake sasa kuusaini au kutousaini mkataba huo. Mkataba mpya wa Hazard na Chelsea utamfanya awe mchezaji pekee katika historia ya timu hiyo kulipwa mshahara mkubwa ila Hazard bado hajamua kusaini mkataba huo akisubiri …