Kahata kukosa Mechi didhi ya Nyasa
Kiungo wa Gor Mahia, Francis Kahata kwa mara nyingine atakosa mechi ya marudiano kwenye Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya timu ya Malawi, Nyasa Bullets itakayochezwa siku ya Jumatano huko Malawi. Kahata alikosa mechi ya kwanza kwani yupo kwenye harakati ya kujiunga na kilabu ya Algeria CS Constantine. Mwenyekiti wa Gor Mahia Ambrose Rachier amethibitisha …