Hatimae PSG wamesimamishwa LIGUE 1
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Ufaransa klabu ya Paris Saint Germain leo imekutana na bahati mbaya na kuvunjwa kwa rekodi yao ya kushinda michezo 15 mfululizo baada ya Bordeaux kufanikiwa kuondoka na point. Mchezo wa Ligi Kuu Ufaransa kati ya wenyeji Bordeaux dhidi ya PSG leo umeandika historia mpya Ligi Kuu Ufaransa kufuatia kuisimamisha …