Arsenal wamepata pigo usiku wa Europa League
Timu ya Arsenal ya Uingereza imepata pigo wakati wa mchezo wa Europa League kati ya Arsenal dhidi ya Sporting CP ya Ureno, Arsenal wakiwa katika uwanja wa Emirates London jijini Uingereza wakicheza mchezo wao wa nne wa Europa League hatua ya Makundi, mshambuliaji wao Danny Welbeck aliumia vibaya. Welbeck katika mchezo huo alicheza kwa …