HENRY JOSEPH AFUNGA PINGU ZA MAISHA
Klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani Mjini Morogoro leo imezitangaza taarifa njema za mchezaji wao Henry Joseph Shindika kuaga kambi ya ukapela na kuamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Bi Oliver. Henry na mpenzi wake Oliver wamefunga ndoa siku ya Ijumaa ya Novemba 9 katika jiji la Mwanza, hiyo ni baada …