Beki wa Man United afuata nyayo za Zlatan Ibrahimovic
Beki wa Manchester United Victor Lindelof ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Sweden mwaka 2018. Beki huyo,24, anakuwa ni mchezaji wa pili kushinda tuzo hiyo baada ya Zlatan Ibrahimovic kuitawala tuzo hiyo kwa muda muongo mmoja. Staa wa LA Galaxy Zlatahimovic ameshinda tuzo hiyo tangu mwaka 2007 mpaka mwaka 2016. Mwaka 2017 akachua beki wa kati …