Dylan Kerr aachana na Gor Mahia
Zikiwa zimebaki wiki 3 msimu mpya wa ligi kuu nchini Kenya kuanza kutimua vumbi, kocha wa mabingwa watetezi Gor Mahia Dylan Kerr ametangaza kujiuluzu nafasi yake katika timu hiyo. Mwenyekiti wa Gor Mahia Ambrose Rachier ameiambia tovuti ya timu hiyo kuwa, wamepokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa Kerr na wamekubali maamuzi yake na kumtakia kila …