Kloop kuweka rekodi mpya Liverpool
Msimu 2007/8 Rafael Benitez aliiongoza Liverpool kucheza michezo 15 ya mwazo bila kupoteza na kuweka rekodi mpya dhidi ya ile ya mechi 13 iliyowekwa msimu wa 1990/91. Wakiwa wamecheza michezo 12 (W9, D3) na kujikusanyia points 30, Liverpool wapo nafasi ya pili nyuma ya mabingwa watetezi Manchester City. Weekend hii watasafiri kuwafuata Watford ambapo Kloop …