Didier Drogba atundika daruga rasmi
Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea ya nchini England Didier Drogba ametangaza rasmi kustaafu kusakata kabumbu baada ya kudumu katika soka la ushindani kwa takriban miaka 20. Mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 40 ameitumikia Chelsea kwa vipindi viwili tofauti, mwaka 2004 hadi 2012 na msimu wa mwaka 2014-2015. Akiwa …