Unai Emery aliwahi ku-bet timu yake ifungwe.
Kocha wa Arsenal kwa mara ya kwanza amefichua kuwa wakati akiwa mchezaji alikuwa aki-bet dhidi ya timu yake aliyokuwa akiichezea. Na hii yote aliifanya kwa kuwa na imani ndogo na uwezo wa timu yake na uwezo wake. Katika kitabu chake cha “ Unai Emery, El Maestro “ anasema kuwa “ Maisha yangu ya uchezaji wa …