Bingwa wa Kombe la Dunia ahukumiwa kwenda jela
Vincenzo Laquinta, bingwa wa kombe la Dunia mwaka 2006 akiwa na Italy, amehukumiwa miaka miwili kwenda jela kwa kosa la kuwa sehemu ya kundi moja la kihalifu. Mchezaji huyo wa zamani wa Juventus alifunguliwa mashitaka mwaka 2015 kwa umiliki wa silaha kinyume na sheria , na vile vile kuwa na lengo la kusaidia ‘ Ndrangheta, …