Mayweather atangaza kurudi ulingoni mwaka huu.
Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ametangaza rasmi kuwa atapigana na ‘ kickboxer’ Mjapan Tenshin Nasukawa katika mkesha wa mwaka mpya mjini Saitama, nchini Japan. Mayweather,41, ambaye ameshinda mapambano yote 50 aliyowahi kupigana, ametangaza pambano hilo baada ya kusaini dili na kampuni ya Mixed Martial Arts ya Japan, RIZIN . Mfumo na sheria zinazotumika katika pambano …