FIFA kubadilisha magoli ya penati.
Shirikisho la soka Duniani FIFA wanampango wa kuondoa magoli yanayofungwa baada ya mchezaji kukosa penati. Sheria hiyo itakuwa endapo mchezaji akapiga penati akakosa, hataruhusiwa kumalizia, ile timu iliyookoa itapewa ‘free kick ‘. Hivyo sheria ingekuwa imeshapita, goli la hivi karibuni lililofungwa na Paul Pogba dhidi ya Everton baada ya kipa kuokoa penati yake lisingekuwepo. Kingine …