Mnyama arejea kwa kishindo klabu bingwa Afrika
Baada ya miaka mingi kupita Simba SC wanarudi katika michuano ya klabu bingwa Afrika. Wamerudi kwa kishindo kizito. Leo katika dimba la uwanja wa Taifa Dar es salaam Simba imewachinja Mbabane Swallows kutoka Swaziland goli 4-1 kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya awali klabu bingwa Afrika Magoli ya Simba SC yamewekwa kimiani na nahodha …