Simba SC kuwavaa Waswaziland Jumatano
Klabu Bingwa ya soka Tanzania Bara Simba itashuka uwanja wa Taifa kupambana na mabingwa wa Swaziland Mbabane swallows hapo Jumatano saa 10 kamili jioni. Akiongea na waandishi wa habari hii leo,Ofisa habari wa timu ya Simba, Haji Manara amesema timu yao iko kambini kujifua na mchezo huo na wachezaji wako salama isipokuwa shomari Kapombe ambae …