Mbao fc yaleta kiungo mpya
Klabu ya Mbao FC ya Mwanza imekamilisha usajili wa kiungo wa kati Jackson Bernad Rambo kutoka klabu ya African Lyon kwa mkataba wa mwaka mmoja .
Mbao inashika nafasi ya nane katika msimu huu wa ligi kuu Tanzania bara, wakishinda mechi tano, sare nne na kujikusanyia pointi 19.