Superclasico yaahirishwa tena
Rais wa shirikisho la soka America kusini CONMEBOL Alejandro Dominiguez amethibitisha mechi ya Superclasico ya marudiano ya fainali ya Copa Libertadores imeahirishwa kufuatia wachezaji wa Boca Juniors kuwepo katika hali mbaya kutokana na tukio la jana. Mechi hiyo ya wababe hao wawili, River Plate na Boca Juniors ilipangwa kuchezwa leo baada ya kuahirishwa jana Novemba …