Gari ya Steph Curry yapata ajali
Gari la Staa wa Warriors Steph Curry lilikuwa mojawapo ya magari matatu yaliyogongana huko Oakland , California Marekani jana Novemba 23 saa tatu asubuhi kwa saa za Marekani Imeelezwa kuwa gari la Steph Curry, aina ya Porsche liligongongwa mara mbili na kuharibiwa, lakini hakuna hata mtu mmoja aliyeumia katika ajali hiyo. Steph Curry bado anauguza …