Nicklas Bendtner akubali kwenda jela.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Nicklas Bendtner anatarajia kwenda kutumikia kifungo jela kwa muda wa siku 50 kwa kosa la kumshambulia dereva Taxi. Mdenmark huyo,30, anayecheza ligi ya Norway katika klabu ya Rosenborg anaenda jela baada ya kuifuta rufaa yake aliyoikata baada ya hukumu kutoka mapema mwezi huu. Hata hivyo haijawekwa wazi ni lini atakwenda …