NEYMAR KUHUKUMIWA MIAKA 6 JELA
Nyota wa klabu ya PSG Neymar Jr anaweza akahukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kutokana na tuhuma zinazomkabili za makosa ya kifedha katika usajili wake toka Santos kwenda Barcelona mwaka 2013. Tuhuma hizi dhidi ya Neymar ziliibuliwa na kampuni la uwekezaji ya nchini Brazil waliolalamika kupata mgao mdogo toka kwenye uhamisho huo na kudai sehemu …