Ndoto ya Tanzania kwenda Cameroon yafifia mjini Maseru
Mwaka 1980 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye aliyekuwa ikuluĀ . Nchi ya Tanzania ilikuwa ikiongozwa kwa mfumo wa chama kimoja. Rais wa sasa wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli alikuwa na umri wa miaka 21, alikuwa hata hajaanza kufundisha katika shule ya sekondari ya Sengerema. 1980 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kucheza katika michuano …