Christian Pulisic huyu hapa darajani
Klabu ya Chelsea imeonekana kushinda vita ya kuipata saini ya winga wa klabu ya Borussia Dortmund Christian Pulisic ambaye mkataba wake na timu hiyo ya Ujerumani unaisha mwaka 2020. Mzaliwa huyo wa Marekani mkataba wake na Dortmund unafika kikomo mwaka 2020 na sasa Dortmund wameripotiwa kukubali kuweka pesa mfukoni kwa kumuuza mchezaji huyo mwisho wa …