Valencia arusha dongo kwa Jose Mourinho.
Beki wa klabu ya Man United Antonio Valencia amefichua kuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye klabu yake si kwa sababu ameumia kama anavyodai kocha wake Jose Mourinho. Meneja wa Man United Jose Mourinho mwanzoni mwa mwezi huu alisema kuwa nahodha huyo ameumia na bado hayupo fiti kushuka dimbani Lakini, akiwa katika majukumu ya timu ya …