VAR yaingia ligi kuu nchini England
Klabu za ligi kuu nchini England zimekubaliana kuanza kutumia mfumo wa Video Assistant Referee (VAR) katika ligi hiyo. Msimu wa 2019/20 ndio mfumo huo utaanza kutumika. Katika kikao cha leo, vilabu vimepewa maendeleo ya majaribio ya VAR katika mechi za ligi hiyo msimu huu na kuongelea utumikaji wake katika michuano ya FA Cup, Carabao na …