Tinkerman is Back.
Kocha wa zamani wa Leicester City Claudio Ranieri ametangazwa kuwa kocha mpya wa Fulham. Kocha huyo kutoka Italia anachukua nafasi ya Slavisa Jokanovic ambaye ametimuliwa katika timu hiyo baada ya kushindwa kufanya vizuri mpaka sasa msimu huu. Fulham inashika nafasi ya mwisho katika ligi kuu nchini England, wakishinda mchezo mmoja tu katika mechi 12 walizocheza …