Deschamps kamrudisha Martial timu ya Taifa
Baada ya kuimarika kwa kiwango cha Anthony Martial katika mechi 7 kufunga magoli 7 akiwa na Manchester United, kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps ameshawishika kumuita Martial timu ya taifa tena baada ya kumuacha katika michuano ya Kombe Dunia 2018 nchini Urusi. Martial sasa pamoja na kukosekana katika kikosi cha …