Crouch katoa waraka kwa wanaoponda kuitwa kwa Rooney Uingereza
Kupewa heshima kwa nahodha wa zamani wa Uingereza Wayne Rooney kucheza mchezo wa mwisho wa kimataifa wa Uingereza dhidi ya Marekani kumepokelewa vizuri na wanafamilia ya soka hususani kwa wachezaji soka wa Uingereza ambao wana majina. Mshambuliaji wa Stoke City aliyewahi kucheza Liverpool Peter Crouch ni miongoni mwa wanasoka waliopokea wazo la Rooney kurudi …