Didier Drogba astaafu kwa majonzi
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba amemaliza vibaya maisha yake ya uchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake ya Phoenix Rising kukubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Louisville kwenye fainali ya USL Cup huko nchini Marekani Drogba ameiongoza Rising ambayo pia ni mmoja wa wamiliki kufika fainali kufika fainali ya mashindano …