KMC wamemwaga mboga Humud kamwaga Ugali
Kiungo wa zamani wa KMC ya Kinondoni Abdulhalim Humud amejibu tuhuma zinazomkabili mbele ya waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma kutoka katika timu yake hiyo ya KMC ambayo amevunja nao mkataba hivi karibuni kwa shutuma za utovi wa nidhamu. Abdulhalim Humud alituhumiwa pia kudaiwa kuiba namba ya simu ya mpenzi wa mchezaji mwenzake kutoka …