Mashabiki waandaa kituko ili kushinda mechi.
Timu yako inapocheza na vinara wa ligi ni muhimu kuwa na mchezaji wa 12, lakini mashabiki wa timu hii walichokifanya ni kitu cha kushangaza zaidi. Wikiendi hii, katika ligi daraja la 3 huko Uholanzi, timu ya Rijnsburgse Boys waliopo nafasi ya saba kwa ligi waliwakaribisha vinara wa ligi AFC katika uwanja wao wa nyumbani. Mashabiki …