Mchezaji auliwa baada ya kukutwa na mke wa mtu.
Mke wa mtu ni sumu. Mchezaji wa Brazil Daniel Correa anayeicheza klabu ya Sao Bento kwa mkopo kutoka Sao Paolo amekutwa amefariki porini koo lake na sehemu za siri zikiwa zimekatwa huko Sao Jose dos Pinhais nchini Brazil baada ya kukutwa kitandani na mke wa mtu. Kiungo huyo,24, alienda kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa …