Matokeo ya uchaguzi Simba
Kura zilizopigwa kwa mwenyekiti alieshinda:
Mwenyekiti -Sued Mkwabi kura 1579 kati ya 1628
Kura walizopigiwa waliokuwa wanagombea nafasi ya Ujumbe kwenye Bodi:
Asha Baraka. -1180
Hussein Kitta. – 958
Dr Zawadi Ally Kabunda – 830
Seleman Harub. -740
Mwina Kaduguda -577
Elia Alfred Martin. -530
Juma Pinto. – 440
Jasmin Soud. – 368
Patrick Rweyemam-349
Abubakar Zebo. -301
Iddi Kajuna. -270
Said Tully. -247
Ally Suru. -217
Chris Mwansasu -186
Hamis Mkoma. -174
Mohamed Wandwi-124
Abdallah Migomba -97
Mshindi nafasi ya Mwenyekiti:
- Sued Khamis Mkwabi
Washindi nafasi ya ujumbe ni:
- Hussein Kitta
- Dr. Zawadi
- Haroub Seleman
- Mwina Kaduguda
- Asha Baraka