Sanamu ya Mo Salah yakosolewa vikali
Sanamu ya mshambuliaji wa Liverpool Mo Salah imezinduliwa jana nchini Egypt , na kuleta maneno kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Sanamu hiyo iliyozinduliwa kwenye mji wa Sharm-el Sheikh inamuonesha Mo Salah ambaye alikuwa kinara wa magoli katika ligi kuu nchini England msimu uliopita akiwa ameweka pozi la aina yake ya ushangiliaji. Kazi ya utengenezwaji …