Leicester City wampa zawadi mmiliki wao
Cardiff City Stadium ni uwanja ambao mara zote timu ya ugenini hupokelewa kiuadui. Hali haikuwa hivyo siku ya jana. Wachezaji wa Leicester City wakati wanaingia uwanjani kupasha misuli kabla ya mechi, huku wakivalia T-shirt ikiwa na picha ya Vichai Srivaddhanaprabha kwa mbele, walishangiliwa sana na mashabiki wa Cardiff. Nyuma ya T-shirts zao ziliandikwa ‘ Khun …