Hata kama hatocheza Lesotho, Amunike ataenda nae tu Samatta
Siku chache zijazo Taifa Stars itakuwa inajiandaa kuelekea Afrika Kusini kuweka kambi ya siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza michuano ya mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon. Taifa Stars itakuwa kambini nchini Afrika Kusini kwa sababu ya kutaka kuzoea hali ya hewa ya Afrika Kusini ambayo kwa kiasi …