Samatta kafunguka kuelekea mchezo wao wa Kesho
Jumamosi hii klabu ya KRC Genk itacheza mchezo wa Ligi Kuu Ubelgji (Jupiter Pro League) dhidi ya Club Brugge ambao watakuwa ugenini kuikabili Genk ambao ndio vinara wa Ligi Kuu kwa sasa wakifuatiwa na Club Brugge. Mchezo wa Genk na Brugge unazidi kuleta hamasa kubwa kwa mashabiki wa soka katika mji wa Genk kutokana na …