PATRICK AUSSEMS ATAJA MBINU WALIOITUMIA SIMBA KULAINISHA UKUTA WA MBABANE SWALLOWS
Kocha mkuu wa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba SC Patrick Aussems aliamua kuweka wazi mbinu aliyoitumia ili kulainisha ukuta wa ulinzi wa Mbabane Swallows katika mchezo wa kwanza wa mzunguuko wa kwanza wa klabu Bingwa Afrika. Patrick Aussems ameeleza baada ya ushindi wa mabao 4-1 uwanja wa Taifa katika mchezo dhidi ya Mbabane …