Usiku wa Red Bull
Katika mbio za Mexico Grand Prix timu ya Red Bull imefanya vyema kwenye mbio za michuano na kufanikiwa kushika nafasi mbili za juu. Daniel Riciardo ndie aliyechukua Pole position mbele ya dereva mwenzake wa Red Bull Max Vertapen baada ya kumpita kwa sekunde 0.062 baada ya Max kuwa ameongoza na kufanya vizuri mizunguko yote kabla …