Vinara wa Magoli Tanzania Premier League Msimu huu.
Wajue vinara wa magoli mpaka sasa Emmanuel Okwi – 7 Eliud Ambokile -7 Meddie Kagere – 5 Said Khamis Said – 5 Habibu Kiyombo – 5
Wajue vinara wa magoli mpaka sasa Emmanuel Okwi – 7 Eliud Ambokile -7 Meddie Kagere – 5 Said Khamis Said – 5 Habibu Kiyombo – 5
Huku timu ya Real Madrid ikiwa katika kiwango kibovu kwa sasa, mchezaji Cristiano Ronaldo amemrushia lawama Rais wa klabu hiyo Florentino Perez kuwa ndiye sababu kubwa ya yeye kuondoka na kujiunga na klabu ya Juventus ya nchini Italia. Baada ya miaka tisa ya kuitumikia klabu hiyo kapteni huyo wa timu ya taifa ya Ureno aliondoka …
Kuelekea mchezo wa kesho kati ya Yanga na Lipuli FC , wachezaji Ally Sonso na Jamali Mnyate hawatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho utakaochezwa saa 1.00 usiku kwenye Uwanja wa Taifa. Mastaa hao ambao Jamali Mnyate kabla ya kujiunga na Lipuli FC aliichezea Azam pamoja na Simba na Sonso ambaye amejizoelea ustaa akitoka kikosi hicho …
Kocha wa Man City Pep Guardiola amewaonya Real Madrid kuwa watakutana na ugumu mkubwa kama wanataka kumuondoa kocha Maurcio Pochettino katika klabu Tottenham. Meneja huyo wa Spurs amekuwa akihusishwa kutakwa na Real Madrid na anaongoza katika orodha ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya Julen Lopetegui Real Madrid. Licha ya Pochettino kuonekana kukaa mbali na kibarua …
Simba ikimpiga mtu goli 5, Barca wakishudha kipigo cha goli 5 katia El Clasico , Ni Lewis Hamilton nae anasepa na ubingwa wa Formular 1 kwa mara ya 5. Dereva wa Mercedes Muingereza Lewis Hamilton amemaliza nafasi ya nne katika mbio za Mexico Grand Prix na kufanikiws kuchukua ubingwa wa Formular 1 mwaka 2018. Katika …
Klabu ya Leicester City imethibitisha kuwa mmliki wao Vichai Srivaddhanaprabha ,60, ni mmoja wa watu watano waliofariki katika ajali ya helikopta iliyotokea juzi jumamosi katika viunga vya uwanja wa King Power baada ya mechi kati Leicester City kumalizika. Polisi wamesema kuwa watu wengine wanne waliofariki kwa ajali hiyo ni wasaidizi wake wawili Nursara Suknamai na …
Wachezaji wa Klabu ya Yanga waliokuwa Majeraha Ibrahim Ajibu pamoja na Papy Kabamba Tshishimbi wameanza mazoezi mepesi leo kwenye Uwanja wa Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam. Baada ya mchezo wa Octoba 25 mwaka huu (Alhamisi) uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya KMC na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 timu hiyo ilipumzika kwa …
El Clasico ya kwanza bila Cristiano Ronaldo na Lionel Messi tangu mwaka 2007. Hii ilikuwa ni mechi watu wa soka walikuwa wakiingoja kuona ni nani atakuwa nyota wa mchezo, Luis Suarez anawapa majibu hayo katika dimba la Camp Nou, akifunga goli tatu na kuondoka na mpira kwenye ushindi wa 5-1 nyumbani. Philippe Coutinho ndiye aliyekuwa …
Helicopter inayomilikiwa na mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha imepata ajali katika viunga vya uwanja wa King Power. Haijafahamika mpaka sasa ni kina nani walikuwapo katika helicopter hiyo. Polisi wa Leicester wametoa tamko “Tupo tunashughulikia tukio katika viunga vya uwanja wa Kings Power.” Kupitia mtandao wao wa Twitter East Midlands Ambulance Service NHS Trust wameandika …
Watoto 12 waliookolewa toka katika mapango nchini Thailand Julai mwaka huu watahudhuria mechi ya Manchester United dhidi ya Everton katika dimba la Old Trafford leo jumapili. Taarifa ya watoto hawa wenye miaka 11 hadi 16 ambao ni wachezaji wa timu ya watoto ya Wild Boar kunasa ndani ya pango lililojaa maji pamoja na kocha wao …