Borussia Dortmund na Hethra Berlin kuchunguzwa
Borussia Dortmund na Hethra Berlin kuchunguzwa na chama cha soka ujerumani baada ya vurugu za mashabiki Chama cha soka cha Ujerumani (DFB) kimefungua uchunguzi juu ya matukio yakiyotokea katika mechi ya Dortmund dhidi ya Hethra iliyoisha kwa sare ya 2 – 2 jijini Dortmund siku ya Jumapili. Polisi wa Dortmund walitoa tamko kuwa watu 45 …