Mastaa wawili wa Lipuli kuikosa Yanga
Kuelekea mchezo wa kesho kati ya Yanga na Lipuli FC , wachezaji Ally Sonso na Jamali Mnyate hawatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho utakaochezwa saa 1.00 usiku kwenye Uwanja wa Taifa. Mastaa hao ambao Jamali Mnyate kabla ya kujiunga na Lipuli FC aliichezea Azam pamoja na Simba na Sonso ambaye amejizoelea ustaa akitoka kikosi hicho …