Helicopter ya mmiliki wa Leicester City yapata ajali
Helicopter inayomilikiwa na mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha imepata ajali katika viunga vya uwanja wa King Power. Haijafahamika mpaka sasa ni kina nani walikuwapo katika helicopter hiyo. Polisi wa Leicester wametoa tamko “Tupo tunashughulikia tukio katika viunga vya uwanja wa Kings Power.” Kupitia mtandao wao wa Twitter East Midlands Ambulance Service NHS Trust wameandika …