Abramovich hafikiri kuiuza Chelsea
Tajiri Roman Abramovich hana mpango wa kuiuza klabu ya Chelsea ya nchini England tofauti na ripoti nyingi zinavyoeleza. Tetesi zimekuwa zikienea kuwa tajiri namba moja wa Jamuhuri ya Czech, Petr Kellner amekuwa na nia ya kuinunua klabu hiyo lakini kituo cha Sky kimeripoti kuwa hakuna maongezi yaliyofanyika au yanayoendelea baina ya mmiliki wa Chelsea na …