Maurcio Pochettino atajwa kutua Real Madrid
Real Madrid wanatajwa kutaka kumchukua kocha wa Tottenham Hotspur Maurcio Pochettino aende kuchukua Julen Lopetegui ambaye amekuwa na msimu mbaya tangu kuichukua timu hiyo majira ya kiangazi. Kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte pia anatajwa kuwa ndiye anaongoza katika mbio za kuchukua kibarua hicho. Real wameripotiwa kuwa wanatazama kama kuna uwezekano wa kumpata Poch …