Jose Mourinho kutoa hatma ya kutafuta Mkurugenzi wa ufundi
Man United imefanya mazungumzo ya kumuajiri mkurugenzi wa ufundi wakiwa na lengo kuja kufanya kazi ya kuleta wachezaji wapya, lakini maamuzi hayo hayatafanyika mpaka kocha Jose Mourinho apitishe suala hilo. Kituo cha ESPN kimeripotiwa kuwa, Man United wamefanya majadiliano hayo kufuatia na kufanya vibaya katika dirisha la usajili lililopita ambapo ilileta mvutano baina ya Mourinho …