Mhilu ajiunga na Ndanda FC
Kiungo wa Klabu ya Yanga, Yusuph Mhilu amejiunga na klabu ya Ndanda FC kwa mkopo wa 6 katika dirisha dogo la usajili linaloendelea.
Klabu ya Yanga kupitia ukurasa wake wa Instagram imethibitisha hilo kwa kumtakia kila la Kheri Mhilu huku ikimshukuru kwa muda wote ambao alikuwapo katika kikosi cha wana-jangwani.