Mo Rashid atimkia KMC kwa mkopo wa miezi 6
Mshambuliaji wa Simba SC Mohamed Rashid ametua rasmi KMC kwa mkopo wa miezi 6.
taarifa kutoka KMC zinasema Mo rashidi ni moja ya washambuliaji ambao kocha Ettiene Ndayiragije alikuwa akiwahitaji ili kuimarisha safu ya ushambuliaji ya KMC.
